Jump to content

Citations:mwaasi

From Wiktionary, the free dictionary

Swahili citations of mwaasi

  • 2009, Interview with George Wambura Gehamba and Samweli Muya Mongita in Morotonga[1]:
    mimi ni mwaasi kutokana na ile ushujaa wa kuwinda au kuua wale matembo na kuua wale masimba basi wakawa hivyo
    I am a rebel due to the bravery of hunting or killing those elephants and killing those lions, and then that’s how they became that way.
  • 2013, Victor Melkizedeck Abuso, “Raia wanne wa Ufaransa waliokuwa wametekwa nchini Niger wawasili nyumbani”, in rfi[2]:
    Ripoti zinasema kuwa raia hao wa Ufaransa waliachiwa baada ya msuluhishi Mkuu wa Niger ambaye wakati mmoja alikuwa mwaasi wa kundi la Tuareg Mohamed Akotey anayeheshimika sana nchini humo kuingilia kati.
    Reports say that the French nationals were released after Niger's chief arbitrator Mohamed Akotey, who was once a Tuareg rebel and who is highly respected in the country, intervened.
  • 2018, Dag Heward-Mills, Siri za Ushindi, →ISBN:
    Hii inamaanisha kwamba lazima uondoe msingi kutoka chini ya miguu ya huyo mtu mwaasi.
    This means that you must remove the foundation from under the feet of that rebellious person.